
Hivi
mnajua kama ku decorate african theme ni ghali zaidi kuliko decoration
zingine zozote zile duniani? Hizi ni baadhi tu ya accessories za
kiafrica. Angalia hii mitungi na hii mito, ni mizuri na inavutia sana.

Stoools za pekeeee, ni nzuri

Nimependa hii coffee table, it's real african, kiti nacho umekiona? kimefumwa na kamba

sitting room it's so nice, vinyago vizuri sana.

Hii ni guest room wapendwa, ni nzuri

wow, hiyo meza ni 2 in 1 yaani ni meza na vile vile ina mchezo wa draft, mto pia hauko nyuma

Hii ni fire place, kwa wenzetu waishio sehemu za baridi, ona throw iliyo kwenye kochi ni ya kiafrika inapendeza kwa kweli. By
Homez Deco Kreative Homez
No comments:
Post a Comment