Kwa wale ambao walikuwa wanataka kujua majina
ya washiriki katika kila mkoa ambao wamefanikiwa kuingia katika kijiji
cha MP yatatangazwa lini,jibu ni kwamba mda c mrfu yatatangazwa
tunasubiria kumalza usaili wa mwisho ambao ni Dar ndipo majina
yatatangazwa,na hao washiriki watapigiwa cmu na wataambiwa tarehe ya
kuja dar,
No comments:
Post a Comment