Hapa
ndio Sukamahela maeneo ya Manyoni, mkoani Singida, ambapo ndipo
katikati kabisa ya nchi ya Tanzania. Alama yake iko kuleeee juu ya
miamba hapo chini ambako ukaindalia kwa makini juu ya mwamba uliochomoza
kulia pana alama kama ya nyani aliyesimama inayoashiria hivyo.
PICHA NA MICHUZI
No comments:
Post a Comment