Safari hii ilianzia Mlimani City Dar es Salaam inatoa fursa kwa watanzania
kutembelea vivutio mbalimbali ikiwemo Hifadhi ya Saadan, Pangani, Lushoto,
Tarangile, Olduvai Gorge, Lake Manyara, Ngorongoro na Serengeti na pia watapata
nafasi ya kutembelea kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Hayati
Mwalimu Nyerere na kuzuru katika kaburi lake.
“Lakeland Africa sasa
itaendesha safari za namna hii kuhimiza watu kutembelea vivutio vya utalii
nchini kwa kauli mbiu ya ‘kuwa mtalii ndani ya nchi yako. na hivi ndivyo ilivyokuwa katika hifadhi ya saadani
|
watu waliojitokeza katika safari hii ya kuitembelea Tanzania kwa siku 14 watasimulia mengi usikose siku nyingine |
|
Hili ndio gari linalotumika katika safari hiyo |
|
Hapa watalii hawa wa ndani wakipata maelezo kuhusiana na makaburi ya kihistoria Saadani |
|
pia walipata kufurahia namna hii pale usiku ulipowadia |
|
Kama umekosa safari hii ya watanzania kutembelea hifadhi zetu umekosa mengi! Chief cooker akilekebisha mabo yake ilikuwa burudani sana |
Shukrani Dotto Kahindi kwa Picha
No comments:
Post a Comment