UMEWAHI KUONA BINADAMU AKICHEZA NA MNYAMA TIGER KAMA HIVI.?
.
Zookeeper Jeff Harwell
ameonyesha kwamba hana woga wa kucheza au kukaa karibu na mnyama hatari
Tiger, kwenye picha mbalimbali anaonekana akiwa anacheza na Tiger,
anafanya kitu alafu Tiger anafatisha, wanaogelea pamoja na Tiger
hamdhuru chochote.
Wakati haya yanatokea kulikua
na watu mbalimbali pembeni waliojitokeza kusafisha macho kwenye hii Zoo
ya Out of Africa Wildlife Park at Camp Verde in Arizona, United States.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment