
Hizi nazo zimepigwa na mdau Rajab Naroro aliyeoko huko hifadhi ya Taifa
ya Serengeti siku ya Jana. Kwa mujibu wa mdau Bonny hizi picha zimepigwa
maeneo ya Ndutu ambako sasa hivi ndio kunavutia wageni wengi sana
kutokana na uwepo wa nyumbu wanaohama ktk maeneo hayo.








Shukran sana wadau wote wanaotoa support kwa blog ya Tembea Tanzania. Ki
ukweli uwezo wa kuweza kupata picha za kila siku na kila wakati kutoka
maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii ndio lengo tunalotaka tuweze
kulifikia siku moja. Itakuwa ni jambo jema endapo wewe unayependa mambo
haya kuamka kila siku ukijua mahali kwa kwenda kuona picha za jana yake
au siku hiyo hiyo toka Serengeti, Ngorongoro, Ruaha na kwengineko. One
day yes tutafikia hatua hii.
Kwa picha hizi Shukran zimfikie mdau Rajab Naroro kwa ushirikiano wake
No comments:
Post a Comment