Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakifurahia Kuingia Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Ofisi ya mapokezi Getini Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika lango kuu la Kuingia Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakishangilia mapokezi Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata Maelezo Getini kutoka kwa Maofisa wa Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika picha ya pamoja na Maofisa lango kuu la kuingilia Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika picha ya pamoja lango kuu la Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata maelezo kutoka kwa muongoza watalii Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa makini kunakili Dondoo muhimu kutoka kwa muongoza watalii Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Safari ya kutembea kwa Miguu ndani ya Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiendelea na safari za Miguu, hapa wakivuka mto ndani ya Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa Makini na mizigo yao wakivuka mto Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakifurahia ubora wa usafiri wa TANAPA wakiwa wanatalii Saadani National Park
Baadhi
ya Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wamepata ujasili wa
kuvuka mto baada ya wenzao kuvuka ndani ya Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakianza Safari ya kutembelea wanyama Saadani National Park
Washiriki
Miss Utalii Tanzania 2012/13 baada ya kutembelea Hifadhi mchana ,
baadae usiku wakijiburudisha kwa kucheza ngoma za asili za Makabila
mbalimbali
Usiku wa ngoma za asili ndani ya Saadani National Park wa Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakionesha umahili wa kucheza Ngoma za asili Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata maelezo kutoka kwa Muhifadhi utalii Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa mbele ya mabaki ya mafuvu ya wanyama ndani ya Saadani National Park
Shangwe za usiku wa Ngoma za Asili wa Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 Saadani National Park
Picha ya Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika bwawa la kuogelea la Saadani Safari Lodge
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakianza Safari kitalii siku ya pili ndani ya Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wamepozi katika Bwawa la Kuogelea Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakionesha moyo wa kizalendo kukwamua Gari Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wamefanikiwa kukwamua Gari iliyo kwama Saadani National Park
Washiriki
Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiendelea na safari ya kitalii baada ya
kufanikiwa kutoa msaada wa kukwamua Gari Saadani National Park
No comments:
Post a Comment