nmb

nmb

Wednesday, April 10, 2013

Huyu ndio Babu wa zaidi ya miaka 64, Joram Molell aliyefanikiwa kumaliza salama mbio fupi za Ngorongoro za km 21-1 akiwa salama na kuvutia watu wengi

Hapa babu akiwa tayari kwa mashindano zidi ya maralalia
Babu akiwasili uwanja wa mazigira bora akisindikizwa na wapambe
akisaidiwa kutoa namba yake ya ushiriki ili kuhakikiwa baada ya kumaliza salama
hapa akipokea  huduma mbalimbali kutoka kikundi cha msalaba wekundu
 Babu  huyo alitumia zaidi ya masaa matano kutoka geti kuu la Hifadhi ya Taifa za Ngorongoro hadi uwanja wa mazingira bora Karatu, mashindano yalifanyika mji wa Karatu ni  kwajili   ya kupambana na Malaria yeliandaliwa na kampuni ya Utalii Zara Tanzania Aventure na kuzaminiwa na tIgo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis