nmb

nmb

Saturday, April 6, 2013

MASANJA MKANDAMIZAJI,AMSHOBOKEA MZUNGU KWENYE TAMASHA LA PASAKA

MWIGIZAJI 'Super Star' wakundi la Orijino Komedi linalorusha michezo yake kila alhamisi ndani ya luninga ya taifa ya TBC one Emmanuel Mgaya Masanja Mkandamiza a.k.a mchungaji Mtarajiwa juzikati alinaswa na kamera za mtandao huu  kwenye tamsha la Pasaka  akiwa bize na mzungu mmoja mwenye jinsia ya kike.

Masanja ambaye alikuwa MC kwenye tamasha hilo lililofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri mkoani hapa, vicheko hivyo viliacha maswari mengikwa watu waliofulika kwenye tamasha hilo wakihoji kulikoni.

Masanja ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za injiri mbali na kuimba kwenye tamasha hilo pia aliteuliwa kuwa muongozaji Mc wa Tamasha hilo lililofana kufuatia uwepo wa waimbaji nyota nchni wa njimbo za injiri.

Haijafahamika mara moja wawili hao wanauhusiano gani ingawa picha ilisomeka kwamba wanafahamiana kitambo.Picha na Dustan shekidele,Morogoro.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis