HAYA NDIO MABADILIKO YA MANDHARI YA JIJI LA DAR ES SALAAM,Je YATAPUNGUZA FOLENI?
Wakati eneo hili la Manzese lililopojengwa daraja watu walishangaa wakati
barabara zikiwa nnne tu, sasa hapa ujenzi unaendelea kufanya njia sita
na mabasi ya haraka.
Je wananchi wataweza kutumia barabara hizi bila ya kupatiwa elimu,kabla ya kumalizika kwa ujezi huo ?
Ni Muonekano Wa Barabara hapo zikiwa zimekamilika.
Kwa muonekano wa picha hii wakazi wote wataweza kupata huduma kwa muda unao stahili.
by CHUMA
No comments:
Post a Comment