Ni Gari ambalo sehemu limefungwa Hema linaloweza kulaza watu wawili. Ni
namna mojawapo ya kwenda Camping japo hii camper anakuwa analala kwenye
ghorofa la kinamna. Hii ilikuwa ni kwenye maonesho ya utalii ya Karibu
2012 kule Arusha. Hema hilo linaweza kukunjwa na gari kuendelea na
safari kama kawaida. na pia linaweza kutolewa na gari likaendelea
kutumika kwa matumizi ya kawaida.
Asante Tembea Tanzania na KK
No comments:
Post a Comment