Actress kutoka Congo Rachel Mwanza alitinga vazi la kitenge au kwa jina
lingine africa magharibi wanaita ankara. Rachael alikuwa katika tuzo
hizo baada ya filamu yake aliyoigiza WAR WITCH kuwa nominated katika
tuzo hizo. Hata hivyo Rachel alitajwa kama mmoja wa celebs waliovaa
vibaya katika red carpet(worst dressed) kwa mtindo wa vazi lake
kutokumkaa vizuri licha ya kuwa vazi zuri la kiafrika. But licha ya kuwa
mara yake ya kwanza kuhudhuria Tuzo hizo kubwa duniani actress huyo
alionyesha kujiamini sana katika kutukuza utamaduni wa kiafrika maana
hata nywele zake zilikuwa rasta ambazo hutumiwa zaidi na wanawake wenye
asili ya Afrika. Katika tuzo hizo Rachel Mwanza aliambatana na Director
wa Hollywood Kim Nguyen.
Great congrats to Rachel who represented African prints there but next time find good African designer to rock again in African prints . We are proud of you Rachel
Great congrats to Rachel who represented African prints there but next time find good African designer to rock again in African prints . We are proud of you Rachel
No comments:
Post a Comment