nmb

nmb

Saturday, February 23, 2013

Nani ataukata mti huu wa ajabu Morogoro?


Mashamba yaliolimwa vizuri lakini hayajapandwa bila sababu yoyote

mti huo wa ajabu kwa karibu zaidi



Hii sehemu wamedai watu hupumzika nyakati za usiku hukaa kwenye hiyo mizizi ya mti
Mti huu wa ajabu unapatikana mjini Morogoro kata ya kichangani katika mashamba ya kota za Reli. majabu ya mti huu:
  • wakulima wanaolima karibu na mti huo wamekuwa hawapati mavuno yoyote mara nyingine wanashindwa kupanda wala kupalilia wakati wamelima tu vizuri.
  • wengine wamedai mti huo hutumika kwa shughuli za kishirikina nyakati za usiku, mara kwa mara kukutwa nazi zimevunjwa pale na wakati mwingine nyakati za usiku ukipita pale nywele zinasisimka ile mbaya.
  • kijana mmoja amedai mti huo sio busara kuukata  kwani watu hupumzika mahala hapo nyakati za usiku na wachumba zao.
SWALI LINABAKI JE! NANI ATAUKATA MTI HUU?

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis