Mwaka jana nilipita Mikumi katika maduka waozayo mambo ya urembo na vitu
vingine..Nilishikwa na mshangaO baada ya kuona hizi heleni
zilizotengenezwa na vizibo vya soda na bia (visoda). Nilipenda sana
ubonifu wao. Lakini kumbe si kazi rahisi. Nawasifu watu waliofanya kazi
hii kwa mikono yao. kunywa soda au bia yako na vizibo ( visoda )
usitupe ni mali...
No comments:
Post a Comment