P.S (please share this with friends)
Showing posts with label Tanzania Tourist Atractions. Show all posts
Showing posts with label Tanzania Tourist Atractions. Show all posts
Sunday, May 19, 2013
Wakati mwingine mvua zinaweza kuwanyima wanyama wadogo raha!
Sometimes, though, the rain might prove too much for the little guys!
P.S (please share this with friends)
Thursday, May 2, 2013
Wednesday, May 1, 2013
This is a reason why Kitulo is known as 'The Garden of God'. Being a home to over 350 species of plans, it truly is the best garden on Earth!
!Hii
ni sababu moja wapo ya Kitulo kujulikana kama Bustani ya Mungu. Kuwa
nyumbani kwa aina zaidi ya 350 ya mimea, hii ni hakika bustani nzuri
sana hapa duniani!
Monday, April 29, 2013
Tunafanya Utalii Serengeti Je Watanzania Mpoo.?
Pichani
tunafanya utalii baadhi ya wageni wakiwa wanapata chakula kwenye mbuga
ya wanyama ya Serengeti kama walivyokutwa na kamera yetu mbugani hapo na
kufurahia mbuga hiyo hapo ni baada ya kuzunguka kwa muda na kujionea
vivutio vya utalii. (Picha na Mahmoud Ahmad).
KILELE CHA KIBO MLIMA KILIMANAJARO
i
Picha zimepigwa
kilometa chache tokea kilipo kituo cha Kibo hut, kituo ambacho ni cha
mwisho kwa mpandaji wa njia ya Marangu na Rongai, kabla hajaanza kupanda
kilele cha barafu siku ya mwisho kuelekea vituo vya Gilmans na mwishowe
Uhuru.
Thursday, April 25, 2013
Uzuri wa Tanzania ni kwamba haijalishi ni muda gani, lazima kuna kitu cha kuvutia ambacho unaweza kukiona
Uzuri wa Tanzania ni kwamba haijalishi ni muda gani, lazima kuna kitu cha kuvutia ambacho unaweza kukiona.
Subscribe to:
Posts (Atom)





