nmb

nmb

Monday, April 15, 2013

MAONYESHO YA UTALII YA COTMM 2013 YAMALIZIKA RASMI BEIJING CHINA

1 
Balozi wa Tanzania nchini China Philip Marmo (wa pili kushoto)  akisalimiana na Mtanzania Egidius Kabitura katika banda la Tanzania kwenye maonyesho ya utalii ya COTMM 2013 yaliyomalizika jana jijini Beijing China. Wengine kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahim Mussa.
2 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akisalimiana na mdau wa utalii Henry Ngotty katika banda la Tanzania.
3 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akisalimiana na mdau wa utalii Henry Ngotty katika banda la Tanzania.
4 
Kutoka kulia: Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Kaika Telele; Naibu Katibu Mkuu Nuru Millao; Balozi Philip Marmon na Mkurugenzi wa Utalii Ibrahimu Mussa katika banda la Tanzania. Aliyesimama nyuma ni Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Bw. Johnsone Manase.
5 
Wadau katika banda la Tanzania

7 
Mgeni huyu alifurahishwa na vazi la kimasai kutoka kwa Egidius Kabitura na kuamua kupiga naye picha katika banda la Tanzania.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis