nmb

nmb

Saturday, April 13, 2013

CHOMBEZO: ASIA DIGITALI SEHEMU YA 2


CHOMBEZO: ASIA DIGITALI.
MTUNZI: George Iron Mosenya

SEHEMU YA PILI

Ulimi mkali kama ule wa kinyonga, ulimi ambao ulishausema uongo hadi uongo ukauzoea ukazama katika sikio la yule jamaa.
“Uwiiiiiii….ooooohhh yeees..” jamaa akaganda kama roboti, mkono haukwenda mbele wala kurudi nyuma.
Akazidi kunena kwa lugha zake zisizokuwa za kiroho.
Asia akagundua kuwa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Akafanya tekniki ya mwisho.
Akajibandua katika mwili wa jamaa….akaanza kujifuta midomo, na kujifanya anaona aibu……jamaa kaduwaa tu hajui digitali inakwenda vipi. Analojia ilikuwa imemwathiri.
Jamaa akawa na aibu za kweli, suruali ilikuwa wima sana. Akajitazama, shughuli ikaja je airekebishe ama aicha ilivyo………

“Yaani sijui tu what to say…but siwezi kujicontrol mwenzio” Asia alivunja kimya, huku akionekana dhahiri kuwa tayari amekolea. Alijifanya haioni ile suruali.
“Sasa tunafanyaje jamani?” aliuliza kibwege yule mwanaume.
“Mi siwezi yaani sijui tu unanisaidiaje……” alizidi kulalamika.
Mwanaume akawasha gari, akaiondoa kwa mwendo wa kawaida.
Akafika Kinondoni, Chichi Hotel.

Hapo hakuna aliyekuwa anakumbuka kuwa alisema anaenda Msasani wala namanga.
Asia alikuwa anaifahamu fika ile hoteli lakini akazuga kuuliza.
“Vipi hapa nd’o kwenu?”
“Hapana hii ni hoteli baby wangu. Vipi tunaweza kuingia.”
“Yaani dah..sawa tu kwa kuwa siwezi kujicontrol. Lakini hapa hapana my dear…pako wazi sana siwezi” Alilalamika kinafiki.

“Sasa twende wapi jamani.”
“Popote hata Magomeni lakini hapa hapana, hizi hoteli kubwa kubwa Dady anawewza kunifumania.” Alidanganya. Uongo ukakubaliwa.
Gari ikageuza kurudi magomeni.

Baada ya dakika kadhaa walikuwa katika chumba katika nyumba ya kulala wageni ya bei ya kawaida. Asia alikuwa ana maana kubwa ya kuchagua sehemu kama ile.
“Baby kwani unaitwa nani?”
“Mimi naitwa Jumanne, niite J fo na Juma tu inatosha.”
“Ooh J fo nd’o zuri zaidi.”
Walipotulia kidogo Asia alichukua simu yake, kama kawaida alituma ujumbe kwa umakini mkubwa.
Kisha vikafuata vitendo.

Jumanne akiwa anaona aibu bado, mara Asia akamrukia akamfungua kishikizo kimoja, mkono mwingine ukalifikia sikio, kidole cha kati kikapenya katia sikio la kuume, mapigo ya moyo ya Jumanne yakaongezeka mwendo, shati likatoka, mara mkono laini wa Asia ukapenya katika suruali ya Juma, akaanza kujichekesha.
Asia akaongeza utundu, mara anapapasa huku mara kule.
Jumanne hoi.

Hatimaye Juma akawa laini kabisa, akapaparika akamminya Asia chuchu yake ngumu, Asia akatokwa na mlio wa ajabu wa kimahaba, Juma akapagawa zaidi.
Asia akajiviringisha mithili ya samaki nguva, kinguo chake kifupi kikapanda juu kidogo.
Shanga kadhaa katika kiuno chake.
Kama shambulizi basi hili lilikuwa la kimataifa.
Juma likuwa mlevi katika jambo hili.
Juma na shanga?? Hakuambiwa kitu na mtu.
Akamrukia Asia, akakirushia mbali kigauni chake.
Juma ana kwa ana na bikini nyeupe, jicho la Asia likiwa katika mlegeo wa ajabu kama linalotaka kufumba.
“Juma mi natakaaa.” Akalia Asia.
Juma akatoa kibukta kilichobaki mwilini.

Kama Juma alidhani ni ujanja kwa mwanaume kutangulia kuvua nguo, basi huo ni ujinga katika mfumo wa digitali aliokuwa anautumia Asia, labda kwa wana analojia wenzake huo nd’o ulikuwa ujanja.
Asia akamtazama Juma anavyokuja kwa kasi, akamuwahi palepale kabla hajakifikia kitanda, akamwangusha chini, mkono mmoja ukaifikia himaya ulimi ukazama sikioni……
Juma akalegea kama mlenda Asia akaligundua hilo.
Mdigitali akafumbua macho akakutana na kitu alichokuwa anakisaka kuanzia ‘internet café’.
Funguo. Zilikuwa funguo mchanganyiko.
Asia akamgalagaza Juma, hatimaye wakaifikia ile meza mbovu iliyokuwa chumbani.
Meza ikapinduliwa na Asia huku akilia kimahaba.
Funguo zikamwagika chini.
Juma hakujua lolote, mkono wa Asia ulikuwa unamsulubisha.
Sasa kikafuata kitendo cha maajabu kikiwa katika mfumo wa Digitali.
Asia akamruhusu yule jamaa kumwingia sasa.
Lengo likiwa safari ya maajabu.
Jumanne akafika kwa kasi zote, akatulizwa kidogo kisha akaruhusiwa.
Kwa papara akaleta staili ya kibaba na mama.
Asia digitali sio mjinga, yaani umweke kibaba na mama ili umwangalie usoni anavyofanya maigizo? Hata haiwezekani.
Lakini cha ajabu alikibali bila kinyongo.
Akalala chali, bwana mapapara akamvamia.
Vigaye vikampa raha Asia, kila mara jamaa alivyomsogelea kwa fujo naye alizidi kusogea nyuma. Si kwamba mikito ilikuw a inamzidia Asia alikuwa anafanya jambo ambalo kwa kuhadithiwa tu huwezi kuelewa we muanalojia unatakiwa ufanyiwe uumbuke nd’o utajua.

Wakati Asia akifanya yake pale chumbani, nje ya chumba mwanadada Janeth ama kwa jina la kazi ‘profesa maji ya shingo’ alikuwa bize akijipitisha hapa na pale akijifanya kuna jambo anatafuta.
Uzuri wa gesti za hadhi ya kawaida hakuna wa kukuuliza.
Kilio feki cha Asia kilimpa amani moyoni kwani ule muda ulikuwa umewadia.
Akajiweka mbali akawa anahesabu dakika.
“Kwa ninavyomjua Asia hapo ni viuno sita tu mambo tayari.” Janeth alijisemea huku akisoma ramani.
Mara akausikia mlango wa chumba cha Asia ukiguswaguswa.
“Tayari mambo...” Jameth alijisemea, akaiweka simu yake mfukoni.
Akatembea upesi upesi akaufikia mlango wa Asia akainama, akatoka na kitu.
Laity kama ungebahatika kumuona wala usingeweza kudhani kuwa alikuwa amechukua funguo tayari. Funguo ambayo ilikuwa inasukumwa na mgongo wa Asia kila ambapo Juma alikuwa anakipampu.
Juma alikuwa katika dunia ya analojia, wenzake walikuwa kazini kidigitali.
Baada ya dakika kadhaa mwanadada Janeth akiwa katika mataa ya magomeni alikuwa anatafuta mahali pa kuwashia redio ndani ya gari la Juma, ajiliwaze huku akiyangoja mataa yaweze kumruhusu ajiondokee zake na kwenda anapojua mwenyewe. Leseni ilimruhusu kujitapa kwa raha zake.

Wakati Janeth akiwa anakula kiyoyozi. Asia alikuwa analia, alikuwa analia sana.
Juma alikuwa anambembeleza.
“Nipo katika siku za hatari…halafu tumefanya bila kinga….then sijui kuhusu afya yako..” alilalamika.
Juma alikiri kosa lakini baadaye akasema jambo la kushangaza.
“Asia usijali mimi ukipata mimba nitalea mtoto..nakupenda kutoka moyoni. Nakupenda sana.” Asia aliyapokea maneno yale kama igizo endelevu.
Akajifanya yamemfariji.
Juma akajiona yeye ni mshindi.
Wakaoga pamoja.
Wakati wa kuagana pale chumbani, mwanaume akafuta aibu. Akampatia nauli shilingi elfu hamsini.
Asia akaipokea kwa heshima zote. Moyoni akimcheka Juma kwani hakujua kama anahamishiwa digitali kilazima.

Hatimaye ukafika wakati wa kujipekua kama gari huwa inahifadhiwa mfukoni ama kwenye pochi.
Juma alipagawa, hapakuwa na gari lolote linalofanana na la kwake pale nje.
Alihaha na kutaka kuwauliza watu. Lakini akakumbana na maneno.
“Park at owners risk.” Akaishiwa nguvu. Asia naye akajifanya amepagawa lakini kupagawa kwa Asia kulikuwa katika namna ya kidigitali.
Asia alipiga mayowe, sio mayowe ya kuita watu hapana. Hayo ni ya kianalojia.
Asia alipiga mayowe ya kumita dereva taksi.
Alipofika akamweleza huku amepaniki. Hakumweleza juu ya gari kuibiwa, hapana akamuuliza swali jingine.
“Kutoka hapa hadi Tandika bei gani.”
“Elfu ishirini nakupeleka.”
Asia hakujibu kitu, akaingia garini na kufunga milango.
Juma akabaki kuhaha peke yake.
Asia digitali, akatambaa na kutoweka upesi kidigitali.
“Chezea Asia wewe.” Alipokuwa katika taksi alikutana na ujumbe huo. Ujumbe kutoka kwa Janeth Profesa maji ya shingo.
Asia akafanya tabasamu hafifu.
Uhakika wa kula na kutesa viwanja kwa mwezi mzima ulikuwepo.

*****
Juma akiwa katika kitanda hospitalini akiwa hoi kiafya analetewa taarifa ya kusikitisha lakini inayotia matumaini kidogo.
Gari lilikuwa limepatikana. Taarifa haikuishia hapo.
Gari lilikuwa ni sawa na kopo.
Tairi zote tano hadi ya spea, usukani, viti, taa, na redio havikuwepo tena.
Ilichekesha kuiita gari.
Jumanne akazimia tena.

**ASIA DIGITALI….ameanza mambo…huu ni mwanzo tu……ni aina ya chombezo ambalo lina matukio ya kustaajabisha ndani yake……
Ni wewe sasa kustaajabika ama kuingia katika hisia….

JIFUNZE: Msichana upo naye chumbani anachati chati na simu madudu gani....KUWA MAKINI

Itaendelea JUMATATU hapa hapa www.ngwesa.blogspot.com

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis