Picha nzima ya muonekano wa kimondo
Baadhi ya watafiti wakijalibu kukimegua kimondo
Muonekano wa jirani wa Kimondo
Kimondo
cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijiji
cha Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka
katika kilima cha Mlenje Ndolezi, wilayani Mbozi katika Jiji la Mbeya
Tanzania. Kina
maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni
kwa kuwa hiki ni cha chuma. karibuni sana kuja kukiona.
Karibu Mbeya, karibu Tanzania .
No comments:
Post a Comment