Ikiwa ni siku ya nne toka waanze safari yao ya kuupanda Mlimani na hizi ni baadhi ya picha ambazo zikionyesha wako katika hatua nzuri katika kuupanda mlima huo. Maendeleo ya safari mpaka sasa January 8-Mandara Hut(2700m)-Horombo Hut(3720) Masaa ya kutembea:5 January 9-Acclimatization Day at Horombo Hut Masaa ya kutembea :4 January 10 Horombo Hut(3200km)-kibo Hut(4730) Masaa ya kutembea :5 |
No comments:
Post a Comment