Wapendano hao baada ya kukutwa wamekufa kandokandao ya bahari ya hindi huku wakiwa wamekumbatiana,walizikwa kwenye kabururi moja huku wakiwa wamekumbatiana hivyo hivyo na hili ndio kaburi lao.
Walikutwa wamkeufa kwenye uvukwe wa hahari ya hindi eneo la kijiji cha Kaole wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Muonekana wa kaburi hilo kwa juu,
Watalii wa ndani ya nchi ya Tanzania walinaswa na Mtandao huu waligombea kupiga picha kwenye kaburi hilo la wapendano wa ukweli wa kalne 13,na kuwa mfano wa kuingwa kwa wapendano wa kalne hii ya 21 ambao wengi wao upendo wao ni vitu,
Nikifafanua hoja yangu hii ni kwamba uzoefu unaonyesha wanawake wengi huingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa wanaume wenye pesa na kwamba siku mwanaume huyo akifulia mpenzi wake wa kike humkipindi,pia kwa kalne hii ya 21 wanaume wengi huingia kwenye mapenzi na wasichana kwa tamaa,kwamba akishatembea na mwanamke zaidi ya miezi mitatu humchoka na kuamu kusaka demu mwingine mzuri zaidi ya yule aliyenaye.huyo naye kipindi kama hicho kikifika hupigwa chini na jamaa kusaka demu mwingine jambo mablo kimsingi sio sahihi hasa kipindi hiki chenye magonjwa mengi ya hatari
vile vile jambo hilo pia liko kwa baadhi ya wanaume ambao wako kwenye ndoa kalne hii ya 21 tunashuhudia wanaume wengi ambao wako kwenye ndoa wakimiliki pia wana wake wengine nje Cup a.k.a nyumba ndogo jambo ambalo ni chukizo mbele za Mungu na mbele ya jamii.
Kwa sasa viongozi wengi wa dini hapa nchini pengine na duniani kote wana lalamika ndoa vingi kuvunjia zikiwa changa,Mtandao huu umefanikiwa kuzungumza na viongozi hao wa dini ya kiislama na kikristo ambapo wamelizungumzia swara hilo kwa utandani huku wakiisifu na kuitolea mfano ndoa yawasanii wa filam Wastara na Sajuki kwamba licha ya kukumbwa na misukosuko mingi lakini bado wana ndoa hao wana bebeana mazingo yao kama walivyokula kiapo cha ndoa yao,Picha na habari za stori hiyo zitawaji baada ya kukamilika kwa makala hii,hivyo endelea kutembelea Mtandao huu.
WAPENDANAO wawili mke na mume wamekutwa wamekufa huku wamegandana kwenye bichi ya ufukwe wa bahari ya hindi kijiji cha Kaole,Walaya ya Bamoyo Mkoa wa Pwani na kurazimika kuzikwa kwenye kaburi moja huku wamekumbatia.
Akizungumza na Mtandao huu Bw Boniface Sangija'2 Pac' alidai kwamba historia inaonyesha kwamba wana ndoa hao wapendanao waliokuwa wakiishi kijiji cha Kaole walikutwa wamekufa huku wamegandana kwenye ufukwe wa bahari ya hindi walikoenda kustarehe.
" Hili ni kaburi la wapendanao ambao histori iliyopo kwenye ofisi za makumbusho ya magofu haya ya kaole zinaonyesha kwamba wapendanao hao waliamua kwenda bichi kuogelea bahari ya hindi eneo hili la Kaole baada ya kuogelea walikumbatiana eneo la nchi kavu ikiwa ni ishara ya muendelezo wa upendo wao wa ukweli"alisema mfanyakazi huona kuongeze kusema kwamba,
"Histori hiyo imedai kwamba ghafla wanandoa hao walifikwa na kifo cha ghafla wote wawili huku wamekumbatiana, wazee wa kalne hiyo 13 waliamua kuwazika kwenye kaburi moja huku wakiwa wamekumbatiana hivyo hivyo"alisema mfanyakazi huyo wa eneo hilo la kitalii la Kaole ambaye kazi yake ni kutoa maelekezo kwa watalii wa ndani na wale wa nje ya nchi.
Leo makala hii inafika tamati kwenye makumbusho ya histori za dini ya kiislama yalipo kijiji cha Kaole Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani,kesho makala hii itawaleta histori na makumbusho wa dini ya kikristo ambayo pia yako kwenye mji huo wa Bagamoyo eneo la Misheni hivyo kesho usikose kutembelea mtandao huu.
NA DUNSTAN SHEKIDELE,ALIYEKUWA BAGAMOYO.
No comments:
Post a Comment