NA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO
WAZIRI Mkuu kipenzi cha watanzani wetu Edward Moringe Sokoine ambaye mwaka 1984 wakati akitoka Bungeni Dodoma na kurejea jijini Dar es salaam alipofika eneo la Wami Dawaka wilaya ya Mvomero Mkoani hapa gari lake liligonga uso kwa uso na gari lingine lililokuwa likitokea Morogoro mjini ambapo kwenye ajari hiyo Sokoine pekee ndiye aliyepoteza maisha.
Kufutia hali hiyo serikali iliamu kujenga mnara kwenye eneo hili kwa lengo la kumkumbuka warizi mkuu huyo kiboko cha wahujumu wa Uchumi.
Juzi mwandishi wa Mtandao huu aliamu kutembelea eneo hilo na kwamba mlizi wa eneo hilo Bw Mpanda Chalo alipohojiwa alidai kwamba kwa sasa serikali imeamu pia kujenga shule ya sekondari nyuma ya mnara huo kwa lengo la kumuezi kiongozi huyo muadilifu.
No comments:
Post a Comment