Sunday, September 16, 2012
Mapambo ya kiafrika kwenye nyumba zetu za kisasa
Na
Hiki ni chumba kimoja, kwa wale wanaokaa chumba kimoja basi huu ni mfano wa kuigwa......
Sehemu za chakula unaweza kuweka kabati dogo na mapambo kiasi, sio
lazima ukaweka kabati la vyombo, una jiko kubwa basi, weka vyombo jikoni
na kwa mpangilio mzuri
Sebule ilivyotulia, hakuna mambo mengi, ama picha nyingi ukutani......
Picha zinahitaji umakini, kwanza kwenye kuchagua, na kutundika ukutani, ili kuleta muonekano mzuri...
Waweza changanya fanicha kama tuonavyo.......rangi pia z a mito ya mapambo,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment