nmb

nmb

Saturday, April 6, 2013

AFANDE SELE,ACHORA SIMBA MWENYE SURA YAKE CHUMBANI KWAKE

 Afande Sele na Wema Sepetu'a.k.a mama wa ma pepar' akiwa mbele ya kamera ya mtandao huu siku ambayo Wema alimtembelea Afande Sele nyumbani kwake maeneo ya Misufini mkoani Morogoro,baada ya mkali huyo wa mashaili nchini kujaliwa kupata mtoto mwingine wa kike,hivyo Wema aliamu kupeleka zawadi za mtoto huyo aliyebatizwa jina la 'Asantesanaa' .

 Mkongwe huyo wa muziki wa bongofleva akiwa na familia yake,kutoka kuli ni mama wa familia hiyo Asha Msindi,anayefuatia ni baba wa familia hiyo Seleman Msindi .a.k.a dume la simba,aliyempakata ni mtoto wao mdogo anayeitwa Asante sana[miezi 9] na wa mwisho ni Tunda[10].mtandao huu unampango wa kufanya mahojiano na Afande Sele pamoja na Mama Tunda kwa lengo la  kujua ni sababu zipi lilizosababisha Tunda na mdogo wake wapishane kwa umri wa miaka 10
Mtandao huu baada ya kupiga  picha kadhaa wakati Afande Sele alipotembelewa na ungeni huo mzito wa Wema Sepetu,baadae  mdaku wa Mtandao huu alipekuwa chumba cha Afande Sele na kukuta picha kubwa ya mnyama simba mwenye sura ya Afande Sele ikiwa imecholwa kwenye ukuta wa chumba chake,ambapo baadae Afande Sele alimtaka mpiga picha wa Mtandao huu kupiga picha na Simba huyu mwenye mfano wa Sura yake.
 [PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE,MOROGORO]

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis