nmb

nmb

Wednesday, August 29, 2012

JE WAYAJUA MAPAMBO YA KIAFRIKA? BASI ANGALIA HAPA.


katika picha hii hapo juu, hapa kitenge kimetumika katika mito na sofa< na kama inavyoonekama imependeza vizuri tuuu, sasa kwa wewe unayependa mapambo ya kiafrika, unaweza ukabadilisha sofa lako kwa kutumia kitenge ama batiki na ikapendeza tuu, ila uwe mwangalifu na rangi, maana vingine hua vinachuja....

 Hapa napo ni aina ya vitenge vya west africa kama sijakosea, mtanisahihisha.... na ngozi hii ya punda milia inatumika kama decorative carpet.....

 Vitenga havijaachwa nyuma,,, na ngozi ya ng'ombe hiyo hutumika kama decorative carpet

 vitambaa vyenye picha za aina ya tingatinga nazo ni nzuri kwa kutumia.....



Ninachoweza kusema ni kua kwa kutumia vitenge, batiki, ngozi za wanyama, vibuyu, na vitu vyote vya kiafrika katika nyumba yako kwa wale wanaotaka kua na mandhali ya kiafrika, inawezekana, na vitu hivi vinapatikana hapa hapa kwetu Tanzania.

nitumie sms kwa kupitia  na nitaleta humu humu kuwaelekeza......

HABARI HII NI KWA HISANI YA  http://homezdeco.blogspot.com/

0715 - 920 565

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis