CHATU AMEZA MTOTO, CHEKI HAPA
Kiumbe huyu...Chatu(Python) ndo kati ya nyoka wachache duniani wenye
meno zaidi ya 2 maana hawana sumu. Meno yao hutumika kukamata msosi
mdoni na kuubana ili usikimbie. wanaua kwa kubana na kujizungusha kwa
mnyama kumziba pumzi na kuvunja vunja mbavu na mifupa. Hapa alimeza
Impala (Swala pala) . bahati mbaya akanasa kwenye fensi ya umeme..South
border to Botswana...wadau wakamdaka akikata roho....Follow...
Hapa ameona fensi ndo nuksi akaamua king'ata kumbe ndo anapigwa shoti zaidi
Mnyama mwenewe aliyemeza anasazi kama hii hapa...alafu mtamu kuliko
mbuzi,anaitwa mbawala kwa waliowahi tembelea mbuga za wanyama watakua
wanamfahamu vizuri
Wadau walimchinja wakapata mboga mbili tofauti...nyama choma ya swala na mapande ya chatu ya kumwaga...Yummy!!
Huyu(sio chatu) alimeza yai kubwa la Mbuni (Ostrich). Hapo najiuliza je
Nazi imeingiaje kwenye tumbo la nyoka!! viumbe hawa wamepewa uwezo wa
kula vitu vikubwa sana kuliko hata maumbile yao lakini lazima waishi na
lazima wale.
akameza yai linye ukubwa kama picha inavyoonyesha hapo chini
Huu
Ni Mzinga wa Moja Chatu, ambaye siku za hivi karibuni alikutwa akiwa
amemeza mtoto mdogo, Kwa wale wazazi wenye watoto wadogo hii kuweni nayo
makini sana maana usije potelewa na mtoto kumbe CHATU KAMEZA.
No comments:
Post a Comment