nmb

nmb

Saturday, October 13, 2012

Vituo vya kupigia Kura Maajabu 7 ya Afrika vyaweka Arusha

 Wakazi wa Jiji la Arusha wakipigia kura Maajabu saba ya Afrika katika moja ya vituo vya kupigia kura hizo vilivyopo katika makumbusho ya Azimio la Arusha. Vivutio hivyo ni Kilimanjaro, Serengeti na Ngorongoro. Zoezi hili linalofanywa na wakala wa TANAPA kushirikiana na wadau mbalimbali ili kufanikisha ushindi wa Tanzania.
Goodluck Kwai (kushoto) ambaye ni Meneja Mauzo wa Megatrade watengenezaji wa Kiroba Original na K Vant akipiga kura yake ya Maajabu saba ya Afrika. Kulia ni Msimamizi wa Kituo hicho, Francis Njau. Upigaji huo wa kura unafanyika bure na iwapo mpigaji anuani ya barua pepe hufunguliwa papo hapo bure.
Mratibu wa Zoezi la upigaji kura wa Maajabu saba ya Afrika, Herman Minja (kushoto) akitoa maelekezo kwa mkazi wa Arusha aliyejitokeza kupiga kura. Vituo hivi vitasabazwa nchini kote katika maeneo yaliyo na mikusanyiko na mashule.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis