Mkurugenzi
wa Shindano la Maisha Plus Bw. Masoud A. Kipanya (kushoto) akijadili
jambo na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Bw. Imani Kajula (kati)
pamoja na wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
NMB kupitia mpango wa NMB
Financial Fitness unaolenga kuongeza uelewa wa matumizi mazuri ya fedha
itapata fursa ya kuwaelimisha washiriki kuhusu huduma za kifedha,
uwekaji akiba, kupanga matumizi, matumizi mazuri ya kifedha na mengine
mengi.
Washiriki wa mpango wa mama shujaaa wa chakula unaodhaminiwa na benki ya NMB hatimaye wameingia katika kijiji cha Maisha Plus.
NMB inaamini udhamini huo ni
sahihi kutokana na kuwa utakuza kilimo na kuwasaidia wakulima wadogo
katika maisha, mapambano dhidi ya njaa,umasikini na uhaba wa ajira miongoni mwa wanawake.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus Naibu Waziri wa Jinsia,
Wanawake na Watoto Mhe. Ummy Mwalim akitoa hotuba wakati wa uzinduzi
wa shindano hilo kwenye kijiji cha Maisha Plus.
Naibu
Waziri wa Jinsia, Wanawake na Watoto Mhe. Ummy Mwalim (kushoto) na
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa Oxfam Bi. Monica Gorman
wakifurahia kinywaji cha dafu wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi
wa Shindano la Maisha Plus Bw. Masoud A. Kipanya (kushoto) akijadili
jambo na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Bw. Imani Kajula (kati)
pamoja na wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
Washiriki wa shindano la Maisha plus wakifuatilia uzunduzi huo huku wakiburudika kwa kinywaji cha dafu.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Oxfam Bi. Monica Gorman
(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Jinsia, Wanawake na Watoto
Mhe. Ummy Mwalim (kushoto) pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa
NMB, Bw. Imani Kajula
Picha na stori fullshangwe
Picha na stori fullshangwe
No comments:
Post a Comment