nmb

nmb

Friday, November 23, 2012

Haya ndiyo mahafali ya ishirini na nane ya Chuo kikuu cha sokoine (SUA) yaliyofanyika tarehe 23/11/2012.

 Bendi maalum ikinogesha hayo mahafali
 baadhi ya wahitimu wa stashahada na shahada katika chuo hicho
 Bwana Hasan akiwa pamoja na mdau wa Ngwesa Tourism Blog
 Baadhi ya wahitimu
 Damas kushoto akimpongeza bwana Peter kwa kuhitimu

 Peter (kushoto) pamoja na Agnes(kulia) wakifurahia kupata shahada zao
 Mimi pia nilikuwepo kuwapa kampani vijana wangu
 Baraka akiwa na baadhi ya wahitimu katika chuo hicho
 Hongera Jackpemba  kwa kuhitimu
Fatma(kulia) akiwa akiwa na mwenzie katika sherehe hiyo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis