| Ndege ya Fast Jet ikiwa tayari kwa safari ya majaribio |
| Abiria wakiwa ndani ya Ndege tayari kwa safari ya majaribio |
![]() |
| Kitu angani |
| Abiria wa majaribio wakishuka kwenye ndege hiyo |
Nauli ya ndege hiyo toka Dar es Salaam hadi Kilimanjaro kwenda na kurudi ni wastani wa Shilingi 86,000/-
Nauli hiyo itakuwa ndio nauli ya chini zaidi kwa safari ambapo kwa nauli ya chini kabisa bila kodi itakuwa ni shilingi 32,000/-
Ndege hiyo inatarajiwa kuanza safari rasmi siku ya Alhmis ya Novemba 29.

1 comment:
saaaaaafiiii
Post a Comment