nmb

nmb

Monday, December 17, 2012

Have you ever visited Mnadani in Dakawa?

Baadhi ya vijana walioambatana na Ngwesa Tourism Blog Kutembelea mnada huo siku ya jumamosi

Any one visiting Morogoro, the Tanzania’s Region, will not have his pleasure complete if he/she does not spend a weekend there and use Saturday to visit the famous and popular Mnada (market) where you have the largest gathering of meat eating, drinking and symbiotic petty trading taking place there

This the place where the highly and the lowly sit together to enjoy the taste of roast meat beef, mutton, or pig meat, washed down the throat by the drink of ones choices. Beer, wine, whisky, soda or the traditional liquors, all available in plenty. and you have traditional foods by the luguru and masaai (the native tribe in Morogoro).


Chief Editer Ngwesa Tourism blog

Ziara ilikuwa ya kuvutia sana hapa tukitembela mabanda mbalimbali vitu vya asili navyo vipo bwa Dalmas alijichukulia kibuyu  katika ziara hiyo

Kiongozi David Kirenga alipata nafasi ya kupata kikombe cha babu pale mnadani sio lazima uende Loliondo mambo yote Dakawa

Mzee wa jamii ya kimasai akichanga dawa ambayo hutumiwa na vijana wengi wenye matatizo mbalimbali hupona kutumia dawa hiyo

madhari ya mnada wa Dakawa umepambwa na makuti pamoja namambo mengi y asili ni sehemu ambayo unatakiwa kufika
nyama za mbuzi huwepo kwa wingi sana siku ya mnada

V ijana waliombana na blog hii ya kitalii wakisubili kupata chochote kile ili kutuliza hali ya usumbufu tumboni na hamu ya nyama

pia hupatikana kachumbali hatari maeneo hayo

kazi ya kutafuna nyama huwa kama unavyoona maeneo hayo.


Nguo za kiamasi huuzwa kwa bei nafuu kabisa


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis