nmb

nmb

Thursday, December 6, 2012

Karibu Morogoro Msimu wa embe Dodo


Photo
Msimu wa embe Dodo umewadia,leo jioni nilikatiza soko la Mji Mpya na kumshuhudia mfanyabiasha wa Embe hizo akishusha matenga kutoka Mkuyuni Matambo,wilaya ya Morogoro vijijini.

Kwa mujibu wa mfanyabiasha huyo Bw Selemani alidai kwamba dod
o moja huuzwa kati ay shilingi 500 hadi shilingiu 1000 bei hiyo inategemea na ukumbwa wa embe.

kutokana na unafuu wa bei niliamu kununu embe 10 ambazo kwa sasa zina powa kwenye friji,marafiki zangu wote wa FB na wale majirani kwa pamoja karibuni home kwani shughuri nzuri ni ile unayoshea na majirani zako

Picha na 
Dustan Shekidele

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis