Kwa kawaida tumezoea kuona na
kushangaa miujiza aitandayo mwenyezi mungu kwa kuumba vitu mbalimbali
ambavyo vinatufanya binadamu tulio wengi kustaajabu kwa uumbaji wake,
mfano: uumbaji wa wanyama ambao hawana viungo vya kuwafanya watafute
kama ndege, na baadhi ya wanyama ambao hawawezi kulima,kupanda,kuendesha
wala kufanya shughuli yoyote ile ambayo inafanywa na binadamu wa
kawaida (aliye na viungo vyote kama miguu,mikono na akili+uelewa). Kwa
mtazamo wa haraka haraka tu, ukiwatazama wale binadamu wanaoumbwa vilema
wasio na viungo unaweza jiuliza maswali yaliyomengi kana kwamba ukakosa
jibu kwamba wanawezaji kukabiliana na hali ya maisha kama wewe
uliyekamilika unapata wakati mgumu kushindana na hali ya maisha katika
utafutaji....
sasa leo tutazame maajabu ya uumbaji wa mungu kwa vile viumbe vilivyoungana maumbile ikiwa ni moja ya ulemavu.
Hawa ni mapacha wanaoishi Tanzania
Hawa ni mapacha wanaoishi India
Hivyo
baasi kwa kuamini kwamba mungu ni mtenda maajabu, ebu check na hii
picha ya hawa nyoka ambao wameungana kama hawa binadamu wa picha za hapo
juu.
Nyoka walioungana mwili
No comments:
Post a Comment