Hii yoye ni juhudi za Rais Paul Kagame akiwa anaiongoza nchi ambayo sio muda mrefu sana toka itoke kwenye vita.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Hapa ndio lilikua soko lao kama Kariakoo, kulikua kumekaa ovyo sana lakini muonekano wa sasa ndio huu.
Hii ndio plan ya muonekano wa mji wa Kigali kwa miaka michache ijayo,
No comments:
Post a Comment