nmb

nmb

Tuesday, September 25, 2012

MMHH!! WANAWAKE NCHINI ZAMBIA WATUMIA UDONGO KWA UREMBO, CHEKI HAPA.

Wanawake wa kabila la Himba lililoko nchini Zambia wanajipaka matope wanayo yaita 'Otjize' na ni kwasababu hiyo wamepewa jina la 'Red Women.'


 Mozambique Beautiful Girls Photo

Inasemekana matope hayo wanayapaka ili kuzuia wadudu na jua lakini wahimba wenyewe wanasema wanasababu zao muhimu zinazowafanya wapake matope hayo.

Matope haya yanapakwa na wanawake wa Himba kila waamkapo asubuhi lakini wanaume hawaruhusiwi kupaka.
HABARI NA  http://tabianchi.blogspot.com

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis