nmb

nmb

Saturday, October 13, 2012

BUKOBASPORTS.COM WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO WAWAOMBA WATANZANIA KUIPIGIA KURA HIFADHI HIYO PAMOJA NA VIVUTIO VINGINE ILI VIINGIE KATIKA MAAJABU SABA YA ASILI AFRIKA. HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA.

Faustine Ruta manager wa Bukobasport.com akiwa mbele ya ofisi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
 
Ngorongoro ni moja kati ya vivutio vya Tanzania vinavyotakiwa kupigiwa kuingia katika maajabu saba ya Afrika. kupiga kura bofya hii link 
http://sevennaturalwonders.org/africa/
picha na  www.bukobasports.com

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis