nmb

nmb

Saturday, October 13, 2012

Hivi ndivyo ilivyokuwa pale Warembo Redds Miss Tanzania 2012 walipotembelea Snake Park Meserani Arusha



 
MShiriki wa Redds Miss Tanzania 2012, Babylove Kalala akijarimu kumuuma nyoka wakati mrembo huyo pamoja na wenzake wanaowania taji hilo walipotembelea eneo la Snake Pak mjini Arusha.
********
Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012  walitembelea eneo la Utalii la ufugaji nyoka la mjini Arusha maarufu ARUSHA SNAKE PARK na kujionea nyoka wa aina mbalimbali, Mamba, Kenge, ndege aina ya  Bundi, Tai na Tumbiri. 

Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kwaajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii nchini na kujifunza mambo tofauti tofauti.


Pamopja na kujionea Nyoka hao na kucheza nao kwa kuwa vaa shingoni pia warembo hao walipata fursa ya kujifunza juu ya tamaduni za Mila ya Wamaasai na kutembelea vibanda vya urembo wa Kimasai.

 Mrembo Diana Hussein nae aliweka mapozi yake na nyoka


 Jesca Haule mrembo kutoka Kitongoji cha Chang'ombe jijini Dar es Salaam nae alionesha ujasiri wake wa kumvaa nyoka.
 Wapo walio ogopa kama Miss Photogenic 2012, Lucy Stephano

 Fina Revocatus kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha akipozi na wenzake.
 Warembo wakiwa katika eneo la Historia ya Jamii ya wamaasai ambayo nayo ipo Meserani mjini Arusha.
.
  Miss Tanzania 2011, Salha Izrael nae akitoka katika vibanda vya biashara
 Elizabeth Diamond mrembo kutoka Singida akiangalia shanga na urembo za aina mbalimbali kwaajili ya kununua.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis