Fisi hawa wa aina yake waliopatikana katika mbuga ya wanyama ya tsavo
mashariki ambao ni wa kwanza kuonekana nchini.kenya..na idadi yao ni
elfu kumi pekee ulimwenguni..na sasa maafisa wa wanyama pori
wanakiri kwamba fisi hao wa kipekee huenda wakawa kivutio kikuu cha
utalii.waangalie hapa.
No comments:
Post a Comment