Hii ni ngoma ya Bikoko kutoka Tanga, sitaki kusema mengi lakini jionee
mwenyewe kisha utoe jibu baada ya show kama hii ni hufuata? mikesha ya
ngono au? mm sijui lakini huu ndio utamaduni wetu, utalii tosha.
by tabianchi
1 comment:
Anonymous
said...
Sasa wale waislamu walowachapa viboko viboko machangudoa pale shekilango wako wapi sasa? na hao wachezaji si waislamu?,unafiki tu ,wacha kilam2 ale bata bwana
1 comment:
Sasa wale waislamu walowachapa viboko viboko machangudoa pale shekilango wako wapi sasa? na hao wachezaji si waislamu?,unafiki tu ,wacha kilam2 ale bata bwana
Post a Comment