nmb

nmb

Saturday, October 6, 2012

JE UNAIJUA NGOMA YA BAIKOKO?

Hii ni ngoma ya Bikoko kutoka Tanga, sitaki kusema mengi lakini jionee mwenyewe kisha utoe jibu baada ya show kama hii ni hufuata? mikesha ya ngono au? mm sijui lakini huu ndio utamaduni wetu, utalii tosha.

  
by  tabianchi

1 comment:

Anonymous said...

Sasa wale waislamu walowachapa viboko viboko machangudoa pale shekilango wako wapi sasa? na hao wachezaji si waislamu?,unafiki tu ,wacha kilam2 ale bata bwana

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis