![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/229.jpg)
Waziri
wa maliasili na Utali Mh. Balozi Khamis Kagasheki akizungumza katika
uzinduzi wa Mkakati wa mpya wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa
Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania)mpango
uliozinduliwa jioni hii na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwenye hoteli
ya Serena jijini Dar es salaam na kujumuisha wadau mbalimbali
wanaojihusisha na masuala ya utalii ambapo Waziri Kagasheki ameuzindua
rasmi.
(PICHA NAWWW.FULLSHANGWEBLOG,COM)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/233.jpg)
Waziri
wa maliasili na Utali Mh. Balozi Khamis Kagasheki akikata utepe katika
kitabu kinachoelezea mkakati wa kutangaza utalii wa utalii wa Tanzania
kimataifa kutoka kulia ni Bw. Gaudence Temu Mwenyekiti wa Shirikisho la
vyama vya Utalii Tanzania (TCT), Ahmad Khatib Kamishna wa Utalii na
kushoto ni Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dkt. Aloyce
Nzuki.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/252.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/2111.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/176.jpg)
Bw.
Gaudence Temu Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania
(TCT) akielezea mkakati wa kutangaza utalii wa Tanzania kimataifa kwa
wadau wa masuala ya utalii waliohudhuria katika uzinduzi huo.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/184.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/153.jpg)
Meneja
Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bw Geofrey Meena kushoto na
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Utalii Tanzania (TCT) Bw. Richard Rugimbana
wakifuatilia kwa karibu maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika uzinduzi
huo.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/93.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/137.jpg)
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha
ya pamoja na Mwenyekiti wa bodi ya utalii (TTB)Balozi Charles Sanga
katikati na Mjumbe wa Bodi hiyo Bi. Teddy Mapunda.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/69.jpg)
Balozi Khamis Kagasheki akisalimiana na Mbunge wa Mafia na Mjumbe wa Bodi ya (TTB) Mh. Abdulkarim Shah
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/145.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/414.jpg)
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Utalii Tanzania (TCT) Bw. Richard Rugimbana kulia
akijadiliana jambo na Dan Kisirye kutoka International Finance
Corporation, katikati ni Godfrey Simbeye Mkurugenzi Asasi ya Sekta
Binafsi Tanzania Private Sector Foundation.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/166.jpg)
Kutoka kulia ni wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)Karaze, Beatrice na Fatma wakiwa katika picha ya pamoja.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/138.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/192.jpg)
Kundi la Wanne Star likitumbuiza katika uzinduzi huo
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/263.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2012/11/IMG_7704-1024x682.jpg)
Baadhi
ya maofisa wa bodi ya utalii Tanzania wakiwa katika hafla hiyo
wakibadilishana mawazo hapa na pale kulia ni Bw. Mussa Kopwe Mkuu wa
Utawala, Bw. Deo Mkuu wa Utafiti kushoto na Bw. Kaduma Mwanasheria wa
(TTB) katikati.
Habari na John Bukuku
No comments:
Post a Comment