nmb

nmb

Friday, November 16, 2012

Hivi ndivyo ilivyokuwa pale Watangazaji Radio Ukweli ya Morogoro walipotembelea Mikumi National Park

 Adam Venance na Agnela Ngatuga

 
Wafanyakazi wa radio ukweli fm ya mjini Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi, kutoka kushoto ni Kelvin Kazmoto, Ann Julius, Mhariri wa Radio ukweli John Kidasi, Fanky Pastory, Agnela Ngatuga, Emilia Msafiri na Adolph Sangu.
Habari na Doto Kahindi

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis