nmb

nmb

Thursday, November 22, 2012

Hakuna kitu kinachoweza kuzidi mandhari mazuri kama haya ya kisiwa cha Mafia!/Nothing beats the tranquil of Mafia Island!

Photo: Nothing beats the tranquil of Mafia Island! Like if you wish you were here!!

Hakuna kitu kinachoweza kuzidi mandhari mazuri kama haya ya kisiwa cha Mafia! Bofya Like kama unatamani kuwa hapa!

Picture source: African Holidays DestinationPhoto: Take a dive in Mafia Island's waters and get a chance to see one of these! The Green sea turtle, one of the large species of the sea turtles can be found here.

Piga mbizi katika maji ya kisiwa cha Mafia ili uweze kuona wanyama kama hao! Huyu kasa ni kati ya kasa wakubwa wanaopatikana duniani.

Source: Mafia Island 
Take a dive in Mafia Island's waters and get a chance to see one of these! The Green sea turtle, one of the large species of the sea turtles can be found here.
Photo: You cannot visit Mafia Island and not enjoy fresh fish for dinner!! Have a great night and see you right here tomorrow as we continue exploring this beautiful island!!

Huwezi kutembelea kisiwa cha Mafia bila kujaribu samaki wao! Tuna watakia usiku mwema! Jiunge nasi hapo kesho ili tuendelee kufichua siri za kisiwa cha Mafia!

Source: Visit and Travel 
You cannot visit Mafia Island and not enjoy fresh fish for dinner!! Have a great night and see you right here tomorrow as we continue exploring this beautiful island!!
 Photo: Diving is one activity that one must try when visiting Mafia Island. Being close to the fish in their natural habitat is a must see!!

Kupiga mbizi ni kati ya vitu vya kujaribu pale unapotembelea kisiwa cha Mafia. Kuwa karibu na samaki wakiwa katika mazingira yao ni kati ya vitu vya kujionea mwenyewe!

Picture source: Kearsleys Travel and Tour 
Kupiga mbizi ni kati ya vitu vya kujaribu pale unapotembelea kisiwa cha Mafia. Kuwa karibu na samaki wakiwa katika mazingira yao ni kati ya vitu vya kujionea mwenyewe!
Story and Pictures by Tanzania Tourist Board

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis