nmb

nmb

Thursday, November 22, 2012

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye Mahafali ya Tatu Chuo Kikuu cha Dodoma yaliyofanyika tarehe 22/12/2012. Ambapo mimi mwenyewe nilitunukiwa shahada ya Utalii

Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dodoma  Mh.Benjamin William Mkapa akiongoza maandamano
Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration Chuo Kikiku cha Dodoma  Prof. Shaaban A.K. Mlacha alikua akimuongoza Chancellor kwenye maanadamano ya mahafari ya chuo kikuu cha Dodoma
Dean wa collage ya Humanities and Social Science,  Prof. Davis Mwamfupe alikua kwenye maandamano
 
 Hapa tukijiimalisha kidogo tumboni ili tuwe safi


 tukielekea eneo la tukio ambapo mahafali yalifanyika(Chimwaga Hall)

Baadhi ya waathiri wa chuo kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye maandamano
 Nikiongoza msafala kama ilivyoada
 Baadhi ya wahitimu wa shahada ya Utalii wakiwa tayari kabisa kwa mahafali
  Mdau wa utalii bwana Ino naye aliwakilisha Mvema

 Bwana Mandia (kushoto) pamoja na Judith peter (katikati) wakifurahia kuhitim shahada ya kwanza


 nikiwa na blogger mwenzangu bwana Ramadhan Makolelo
 Bwana Kalist Linus naye alikuwepo
 Haya mambo hata chuo kikuu yapo sio huko tu huyu bwana alisomea uchumi

 Mmi nikiwa na Bwana Bahati Nzema tukichukua picha ya pamoja
 Baadhi ya umati uliohuzuria
 Matilda (kushoto), Twidy pamoja na mimi baada ya mahafali
 Nikiwa na bwana Joseph Lukaza wa Lukaza Blog
 Nikijiandaa kuondoka Dodoma.
Asante mungu kwa shahada hii ya kwanza ya Utalii  Tukutane nashukuru wewe pia kwa kuendela kutembele NGWESA TOURISM BLOG   tegemea vitu vizuri   zaidi kuhusiana na utalii Tanzania

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis