nmb

nmb

Thursday, November 22, 2012

WAKAZI WA DAR HIVI NDIVYO BARABARA ZITAKAVYOKUWA ZA MABASI YAENDAYO KASI (DART)


 Eneo la kituo cha kipekee hapa Tanzania ndo kitatokea kati ya Magomeni, na kuendelea 
 Ujenzi uukiendelea kwa speed
 Ujenzi ukiwa unaendelea kwa vifaa vya kisasa chini ya mkandarasi STRABAG- DAR RAPID TRASINT
 Hii picha itakayovyokuwa dar hivi karibuni ujenzi utakavyokwisha
 Mh: Magufuli akionyesha kwa furaha hali itakavyo kuwa mji wa dar kwa njia thabiti za kunusuru ndo za watu na imani inayoanza kutoweka kisa foleni
 Foleni kama hizi zitakoma kwa utatuzi wa kuwa na barabra bora na za kisasa, pia itakuwa tiba kwa wachelewaji wa makazini na maeneo mengine.
 Ili kupunguza foleni kuvunjiana heshima kisa usafiri... matusi kati ya konda na abiria

Huu mtililiko vituo na Jiji litakavyo onekana, kwa usafi na nafasi ya kutosha kati ya watu na mazingira husika

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis