Mkurugenzi
wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa (kulia) akihojiwa na mwanahabari
jijini Shanghai wakati wa Roadshow iliyofanyika jijini hapo kutangaza
utalii wa Tanzania. Katikakti ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili
na Utalii Bi. Nuru Millao
Sehemu ya wakazi wa Shanghai wakifuatilia mada katika roadshow hiyo.
Maafisa
kutoka Tanzania (kutoka kushoto) Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk.
Aloyce Nzuki; Meneja Sheria wa Mamlaka ya Ngorongoro Egidius Mweyunge;
Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Johnsone Manase na Mkurugenzi wa Idara
ya Utalii Ibrahimu Mussa wakiwa katika roadshow hiyo jijini Shanghai.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akifungua roadshow jijini Shanghai.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki akiwasilisha mada kuhusu Utalii wa Tanzania kwa wakazi wa Shanghai China.
Baada
ya uwasilishaji wa mada Watanzania hawa walijumuika kuimba pamoja wimbo
wa TANZANIA YETU NCHI YENYE FURAHA mbele ya halaiki ya wakazi wa
Shanghai China.
No comments:
Post a Comment