Awali hoteli hii ilikuwa chini ya Menejimenti ya Kampuni ya Kempinski
ambapo ilijulikana kama Zamani Kempinski. Sasa hivi hoteli hii ipo chini
ya Menejimenti ya kampuni nyingine kubwa ktk sekta ya mahoteli
ijulikanayo kama Melia. Ipo ktk kisiwa cha Unguja, takribani kilometa 40
tokea Mji Mkongwe. Hoteli ipo eneo lijulikanalo kwa wenyeji kama Pwani
mchangani. Ni Eneo lenye mahoteli mengi ya Kitalii huko Kaskazini
mashariki ya kisiwa cha Unguja. Sasa hivi inajulikana kama Melia Zanzibar
Tembelea Tovuti yao kufahamu mengi zaidi.
Picha katika mtundiko huu zilipigwa mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka huu.
No comments:
Post a Comment