nmb

nmb

Tuesday, November 20, 2012

Exclusive pictures of the trip (UDOM- BATCH) to Mpunguzi village

The day trip to Mpunguzi village was for study tour, leisure and recreation also for fulfilling practical course requirement. The trip started around 0:8 a.m from the University compound on drive for about one hour and half, . Mpunguzi village is located at the southern part of Dodoma urban. 
 
safari ilianza  hivi mimi pia nilikuwepo

Bwana Rich akitoa maalum kuhusiana na safarr baada ya kuwasili kikijini hapo

From the trip at Mpunguzi village there are several things that student came to learn and experience like this Traditionally  local entertainment/ traditional dances

Matilda , Twidy wakipendeza nami siku hiyo

Safari ya kuelekea kwenye mashamba ya zabibu hapa ni Emmy pamoja na Mwl wake

 
Frank Chubwa hakuwa nyuma kukusanya data kwajili ya group la bwana Sudy

mashamba ya Zabibu ya mpunguzi

hapa wakipata maelelezo kuhusu kilimo cha zabibu

mtaalu Chigo B  naye alikuwepo kwenye ziara hiyo

Group # 18 ambalo ndio lilikuwa gruop langu la assigment nawashukuru sana kwa ushirikiano wao katika kuafanikisha malengo. asanteni sana.
 Picha na Daud Swilla

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis