nmb

nmb

Saturday, November 17, 2012

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA JIJI LA MBEYA

Mnara wa Mwenge uliopo maeneo ya karibu na Hospitali ya Rufaa Mkoani Mbeya kama unavyoonekana.
Jengo la Mbeya Retco linavyoonekana sasa.
Jengo la Hospitali ya Aga Khan lililopo maeneo ya katikati ya jiji la Mbeya.
Jengo la Ofisi za Posta jijini Mbeya.
Mitaa ya Uhindini mjini Mbeya.
Eneo la BP kuelekea maeneo ya katikati ya jiji la Mbeya.

Post a Comment
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

AddThis